Ufafanuzi wa njozi katika Kiswahili

njozi

nomino

  • 1

    maono yatokeayo usingizini.

    ndoto, ruya

  • 2

    mangazimbwe