Ufafanuzi wa njuga katika Kiswahili

njuga

nominoPlural njuga

  • 1

    kengele ndogondogo zinazofungwa miguuni, mikononi au shingoni wakati watu wachezapo ngoma au mtoto aanzapo kutembea.

    kifumanzi, msewe

Matamshi

njuga

/nʄuga/