Ufafanuzi wa njumu katika Kiswahili

njumu

nominoPlural njumu

  • 1

    misumari yenye vichwa vya shaba, agh. hupigiliwa milangoni na kwenye makasha kwa ajili ya urembo.

  • 2

    misumari iwekwayo nyayoni mwa viatu vya michezo.

  • 3

    viatu vya michezo vyenye misumari.

Matamshi

njumu

/nʄumu/