Ufafanuzi msingi wa noa katika Kiswahili

: noa1noa2

noa1

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

 • 1

  tia makali silaha k.v. kisu au panga ili iweze kukata.

  pisha

Matamshi

noa

/nɔwa/

Ufafanuzi msingi wa noa katika Kiswahili

: noa1noa2

noa2

kitenzi sielekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

 • 1

  shindwa kupata.

  ‘Amenoa kwani hakupata kitu’
  kosa, feli

Matamshi

noa

/nɔwa/