Ufafanuzi wa nomino katika Kiswahili

nomino

nominoPlural nomino

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    neno linalotaja jina la mahali, mtu, kitu, hali au tendo.

Asili

Kng/Kla

Matamshi

nomino

/nɔminɔ/