Ufafanuzi wa nona katika Kiswahili

nona

kitenzi sielekezi

  • 1

    jaa mafuta mwilini, hasa kwa mnyama.

Matamshi

nona

/nɔna/