Ufafanuzi wa nong’oneza katika Kiswahili

nong’oneza

kitenzi elekezi

  • 1

    sema kwa sauti ndogo inayosikika tu na mtu aliye karibu nawe.

Matamshi

nong’oneza

/nɔŋɔnɛza/