Ufafanuzi wa nonga katika Kiswahili

nonga

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya mtu akasirike.

    kasirisha, udhi

Matamshi

nonga

/nɔnga/