Ufafanuzi msingi wa noti katika Kiswahili

: noti1noti2

noti1

nominoPlural noti

  • 1

    kipande cha karatasi kinachotolewa na serikali ili kutumika kama fedha.

Asili

Kng

Matamshi

noti

/nɔti/

Ufafanuzi msingi wa noti katika Kiswahili

: noti1noti2

noti2

nominoPlural noti

  • 1

    alama inayowakilisha sauti katika muziki.

Asili

Kng

Matamshi

noti

/nɔti/