Ufafanuzi wa nufaisha katika Kiswahili

nufaisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    letea manufaa au faida.

    ‘Kilimo kimetunufaisha sana huko kijijini’

Asili

Kar

Matamshi

nufaisha

/nufaI∫a/