Ufafanuzi wa nuiza katika Kiswahili

nuiza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    sema kwa sauti ya chini au kimoyomoyo mambo ambayo ungependa yatokee au uyafanye.

Matamshi

nuiza

/nuwiza/