Ufafanuzi msingi wa nukta katika Kiswahili

: nukta1nukta2

nukta1

nominoPlural nukta

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  alama ndogo ya mviringo [.] ambayo, agh. hutumiwa kwa kuonyesha mwisho wa sentensi.

  kitone, kituo

Asili

Kar

Matamshi

nukta

/nukta/

Ufafanuzi msingi wa nukta katika Kiswahili

: nukta1nukta2

nukta2

nominoPlural nukta

 • 1

  moja ya sitini ya dakika.

  sekunde

Asili

Kar

Matamshi

nukta

/nukta/