Ufafanuzi wa nukuu katika Kiswahili

nukuu

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    wasilisha hoja ya mtu kwa maandishi au kwa kusema kama alivyoitoa bila kubadilisha chochote.

Asili

Kar

Matamshi

nukuu

/nuku:/