Ufafanuzi wa nunda katika Kiswahili

nunda

nominoPlural manunda

  • 1

    paka aliyeasi na kukimbilia porini; paka shume.

    gwagu, duzi, shume

Matamshi

nunda

/nunda/

nominoPlural manunda

  • 1

    mtu mwenye mwili mkubwa na nguvu nyingi.

    ‘Nunda mla watu’

Matamshi

nunda

/nunda/