Ufafanuzi wa nung’unika katika Kiswahili

nung’unika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    sema kwa sauti ya chini, agh. peke yako.

  • 2

    sema kwa kulalamika, hasa kwa kutoridhika na jambo.

    lalamika

Matamshi

nung’unika

/nuŋunika/