Ufafanuzi wa nung’uniko katika Kiswahili

nung’uniko

nomino

  • 1

    lalamiko la kuonyesha kutoridhika na jambo.

    lalamiko

Matamshi

nung’uniko

/nuŋunikɔ/