Ufafanuzi msingi wa nungu katika Kiswahili

: nungu1nungu2nungu3

nungu1 , nungunungu

nominoPlural nungu

 • 1

  aina ya mnyama anayefanana na nguruwe kwa sura, mwenye miba mwili mzima iliyo kama vijiti vyembamba vilivyochongoka.

Matamshi

nungu

/nungu/

Ufafanuzi msingi wa nungu katika Kiswahili

: nungu1nungu2nungu3

nungu2

nominoPlural nungu

 • 1

  samaki kama changu lakini mwekundu.

Matamshi

nungu

/nungu/

Ufafanuzi msingi wa nungu katika Kiswahili

: nungu1nungu2nungu3

nungu3

nominoPlural nungu

 • 1

  kuku mwenye manyoya yaliyosimama.

  kidimu, mangisi, kinyavu, kinyaunyau

Matamshi

nungu

/nungu/