Ufafanuzi wa nusurika katika Kiswahili

nusurika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    epuka madhara makubwa k.v. kifo kwa bahati; ponea chupuchupu.

    ponea

Asili

Kar

Matamshi

nusurika

/nusurika/