Ufafanuzi wa nusuru katika Kiswahili

nusuru

kitenzi elekezi

  • 1

    ponyesha kutoka katika hatari.

    ‘Mungu ameninusuru’
    ponya, vua, okoa

Asili

Kar

Matamshi

nusuru

/nusuru/