Ufafanuzi msingi wa nususi katika Kiswahili

: nususi1nususi2

nususi1

kivumishi

  • 1

    -enye ukali, nguvu, juhudi na bidii.

Matamshi

nususi

/nususi/

Ufafanuzi msingi wa nususi katika Kiswahili

: nususi1nususi2

nususi2

nominoPlural nususi

  • 1

    tamko litumikalo kuonyesha kuwa ukweli wa mambo au maneno fulani umeelezwa waziwazi katika vitabu vinavyokubalika kuwa ni sahihi.

    ‘Haya ni katika nususi ya mambo’
    uwazi

Asili

Kar

Matamshi

nususi

/nususi/