Ufafanuzi wa nyaa katika Kiswahili

nyaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kunjamana, agh. majani ya mmea, kwa sababu ya jua kali au kukosa maji.

    nyauka, zingia

Matamshi

nyaa

/ɲa:/