Ufafanuzi msingi wa nyaka katika Kiswahili

: nyaka1nyaka2

nyaka1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  kamata kwa haraka kitu kilichotupwa au kilicho hewani.

  daka

 • 2

  chukua kitu upesi.

  ‘Golikipa aliunyaka mpira kwa madaha’

Matamshi

nyaka

/ɲaka/

Ufafanuzi msingi wa nyaka katika Kiswahili

: nyaka1nyaka2

nyaka2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  piga kwa nguvu; piga haraka.

  ‘Akija nitamnyaka makofi’

Matamshi

nyaka

/ɲaka/