Ufafanuzi wa nyakanga katika Kiswahili

nyakanga

nominoPlural manyakanga

  • 1

    kiongozi mwenye cheo katika fani za mambo ya mafunzo ya ndani k.v. unyago na jando; kungwi mkubwa.

Matamshi

nyakanga

/ɲakanga/