Ufafanuzi wa nyakua katika Kiswahili

nyakua

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua kitu kwa haraka na kunyanyua kama anavyofanya mwewe anapochukua kifaranga; shika na kupeleka kwa haraka.

    beba, pora

Matamshi

nyakua

/…≤akuwa/