Ufafanuzi msingi wa nyamaza katika Kiswahili

: nyamaza1nyamaza2

nyamaza1

kitenzi sielekezi

  • 1

    acha kuzungumza au kulia.

    vuata, fyata, sukutu

Matamshi

nyamaza

/…≤amaza/

Ufafanuzi msingi wa nyamaza katika Kiswahili

: nyamaza1nyamaza2

nyamaza2

kiingizi

Matamshi

nyamaza

/…≤amaza/