Ufafanuzi wa nyamazisha katika Kiswahili

nyamazisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu aache kuzungumza au kulia.

    ‘Ni vigumu kumnyamazisha mtoto anayelia kwa njaa bila kumpatia chakula’

Matamshi

nyamazisha

/ɲamazi∫a/