Ufafanuzi wa nyambizi katika Kiswahili

nyambizi

nominoPlural nyambizi

  • 1

    chombo cha kivita kinachosafiri chini ya maji.

    sabmarini

Matamshi

nyambizi

/ɲambizi/