Ufafanuzi msingi wa nyambua katika Kiswahili

: nyambua1nyambua2nyambua3

nyambua1

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~ana

 • 1

  chambua kitu kilichoshikamana k.v. uzi uliosokotwa ili kiwe mbalimbali.

 • 2

  vuta na kuongezea urefu wa kitu chenye kuvutika k.v. mpira uvutwapo.

Matamshi

nyambua

/ɲambuwa/

Ufafanuzi msingi wa nyambua katika Kiswahili

: nyambua1nyambua2nyambua3

nyambua2

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~ana

 • 1

  tolea mtu maneno ya kashfa.

  kashifu

Matamshi

nyambua

/ɲambuwa/

Ufafanuzi msingi wa nyambua katika Kiswahili

: nyambua1nyambua2nyambua3

nyambua3

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~ana

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  ongeza kiambishi kwenye mzizi wa neno ili kupata neno jingine la kategoria ileile au nyingine tofauti.

Matamshi

nyambua

/ɲambuwa/