Ufafanuzi wa nyambuo katika Kiswahili

nyambuo

nominoPlural nyambuo

  • 1

    samaki mdogo kama dagaa.

Matamshi

nyambuo

/ɲambuwɔ/