Ufafanuzi msingi wa nyanya katika Kiswahili

: nyanya1nyanya2

nyanya1

nominoPlural nyanya

  • 1

    aina ya tunda ambalo likiiva huwa jekundu na hutumika kwa kuungia mboga au kuliwa bila kupikwa.

Matamshi

nyanya

/ɲaɲa/

Ufafanuzi msingi wa nyanya katika Kiswahili

: nyanya1nyanya2

nyanya2

nominoPlural nyanya

  • 1

    mama mzaa baba au mama.

    bibi

Matamshi

nyanya

/ɲaɲa/