Ufafanuzi wa nyanyapaa katika Kiswahili

nyanyapaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~za

  • 1

    epuka mtu kutokana na hali aliyonayo k.v. ugonjwa au uchafu.

  • 2

    bagua

Matamshi

nyanyapaa

/ɲaɲapa:/