Ufafanuzi msingi wa nyanyua katika Kiswahili

: nyanyua1nyanyua2

nyanyua1

kitenzi elekezi

 • 1

  leta juu kitu kilicho mahali pa chini bila ya kubingirisha.

  ambua, inua

Matamshi

nyanyua

/ɲaɲuwa/

Ufafanuzi msingi wa nyanyua katika Kiswahili

: nyanyua1nyanyua2

nyanyua2

kitenzi elekezi

 • 1

  pasua k.v. karatasi au nguo.

  ‘Nguo yangu imenyanyuka’
  chana, rarua, boshoa

Matamshi

nyanyua

/ɲaɲuwa/