Ufafanuzi msingi wa nyara katika Kiswahili

: nyara1nyara2nyara3

nyara1

nomino

  • 1

    watu waliotekwa vitani.

  • 2

    vitu vilivyotekwa vitani.

Matamshi

nyara

/ɲara/

Ufafanuzi msingi wa nyara katika Kiswahili

: nyara1nyara2nyara3

nyara2

nomino

  • 1

    mali iliyotangazwa rasmi kwamba ni kwa matumizi ya serikali.

Matamshi

nyara

/ɲara/

Ufafanuzi msingi wa nyara katika Kiswahili

: nyara1nyara2nyara3

nyara3

kielezi