Ufafanuzi wa nyarubanja katika Kiswahili

nyarubanja

nominoPlural nyarubanja

  • 1

    utaratibu wa ukodishaji ardhi iliyolimwa; utaratibu wa jadi wa kukumba ardhi ya mtu kwa kutumia sheria au mila za zamani.

Matamshi

nyarubanja

/ɲarubanʄa/