Ufafanuzi wa nyata katika Kiswahili

nyata

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda kwa taratibu kwa kutumia ncha za vidole, hasa wakati wa uwindaji.

  • 2

    bojia, nyemelea, nyapa

Matamshi

nyata

/ɲata/