Ufafanuzi wa nyati katika Kiswahili

nyati

nominoPlural nyati

  • 1

    mnyama wa porini anayefanana na ng’ombe lakini mkubwa zaidi, ana pembe kubwa zilizopinda kuelekea mbele.

    mbogo

Matamshi

nyati

/ɲati/