Ufafanuzi wa nyatua katika Kiswahili

nyatua

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    enda mwendo wa mtoto anayejifunza kwenda.

    demadema

Matamshi

nyatua

/ɲatuwa/