Ufafanuzi wa nyatunyatu katika Kiswahili

nyatunyatu

kielezi

  • 1

    tamko lenye kuonyesha mwendo wa polepole kwa ncha za vidole.

    ‘Askari wanakwenda nyatunyatu’
    mchachato

Matamshi

nyatunyatu

/ɲatuɲatu/