Ufafanuzi wa nyaufu katika Kiswahili

nyaufu

kivumishi

  • 1

    (kwa matunda au majani) -enye kufifia.

  • 2

    -enye kunyauka; -a kupooza; -a kuanza kukauka kwa sababu ya joto.

Matamshi

nyaufu

/ɲawufu/