Ufafanuzi wa nyegeresha katika Kiswahili

nyegeresha, nyengeresha

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    tia nyege; tia ashiki na uchu wa kufanya tendo la ndoa.

    tekenya, papasa, nyegeza

Matamshi

nyegeresha

/ɲɛgɛrɛ∫a/