Ufafanuzi wa nyeka katika Kiswahili

nyeka

kitenzi sielekezi

  • 1

    ng’aa kwa sababu ya kupaka mafuta mengi.

    ‘Mwili unanyeka mafuta’
    nang’anika

  • 2

    kuwa katika hali ya umajimaji.

Matamshi

nyeka

/ɲɛka/