Ufafanuzi wa nyemelea katika Kiswahili

nyemelea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~sha, ~wa

  • 1

    endea kitu kimya na polepole k.v. mwindaji afanyavyo.

    nyata, nyapa, vizia, chanyatia, bojia, otea

Matamshi

nyemelea

/ɲɛmɛlɛja/