Ufafanuzi wa nyenyekea katika Kiswahili

nyenyekea

kitenzi elekezi

  • 1

    fanyia heshima.

    inamia, tii, kongowea

  • 2

    kuwa mtiifu kwa madhumuni ya kupata kitu fulani.

Matamshi

nyenyekea

/ɲɛɲɛkɛja/