Ufafanuzi msingi wa nyera katika Kiswahili

: nyera1nyera2

nyera1

nomino

  • 1

    kinyama cha baharini ambacho hukaa mahali pamoja bila ya kuondoka na kufanya mawindo yake papo hapo kilipo.

Matamshi

nyera

/ɲɛra/

Ufafanuzi msingi wa nyera katika Kiswahili

: nyera1nyera2

nyera2

kitenzi elekezi

  • 1

    fanyia mzaha.

    ‘Mimi si wa kuninyera’
    cheza

Matamshi

nyera

/ɲɛra/