Ufafanuzi wa nyesha katika Kiswahili

nyesha

kitenzi sielekezi~ea, ~eka

  • 1

    anguka kwa matone k.v. mvua.

    ‘Mvua inanyesha’

Matamshi

nyesha

/ɲɛ∫a/