Ufafanuzi wa nyeti katika Kiswahili

nyeti

kivumishi

  • 1

    -enye umuhimu wa hali ya juu kwa maslahi ya jamii au taifa.

    ‘Suala nyeti’

  • 2

    -enye kugusa hisia za watu au siri za serikali.

    ‘Serikali husita kutoa maelezo ya habari nyeti’

Matamshi

nyeti

/ɲɛti/