Ufafanuzi wa nyigu katika Kiswahili

nyigu

nomino

  • 1

    mdudu mkubwa wa jamii moja na nyuki anayeuma na mwenye kiuno chembamba.

    dondora, mavu