Ufafanuzi wa nyima katika Kiswahili

nyima

kitenzi elekezi

  • 1

    kataa kumpa mtu kitu.

    hini, kataa

Matamshi

nyima

/…≤ima/