Ufafanuzi wa nyimivu katika Kiswahili

nyimivu

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kunyima.

Matamshi

nyimivu

/ɲimivu/