Ufafanuzi wa nyinyi katika Kiswahili

nyinyi, ninyi

kiwakilishi

  • 1

    nafsi ya pili, wingi.

  • 2

    wewe na wenzako.

    ‘Nilisema lakini nyinyi hamkunisikia’

Matamshi

nyinyi

/ɲiɲi/